B Gway – Usijichukulie Star Lyrics

B Gway – Usijichukulie Star Lyrics ft. Lava Lava

Helloooo
B Gway
Lg my gee
Hehe Love Bite
LG

Usijichukulie Star
Oya Weeh usijichukulie Star
Usijichukulie Star
Oya Weeh usijichukulie Star

Kueka Breach Kama Mcongo
(Oya we usijichukulie star)
Ma sixpack kutwa minondo
(Oya we usijichukulie star)
Kuvaa suit nyekundu
(Oya we usijichukulie star)
Kupaka piko na mikorogo
(Oya we usijichukulie star)
Vi apartment vya mikocheni
(Oya we usijichukulie star)
Mara mikufu mara micheni
(Oya we usijichukulie star)
Kuchekesha kidogo unajiona star
(Oya we usijichukulie star)
Sasa wewe star au Stanbakora
(Oya we usijichukulie star)
Mastar walikuepo kipindi hiko
Toka enzi zile za kikulacho
(Oya we usijichukulie star)

Usijichukulie Star
Oya Weeh usijichukulie Star
Usijichukulie Star
Oya Weeh usijichukulie Star

Shusha Vioo Salimia Wana Oya
(Usijchukulie star)
Eti bongo kuna jua sitembeagi mchana Oya
(Usijichukulie star)
Siku hizi sipandi bajaji(eeeeeenhe)
Mwenzenu nguna silagi(whaaaaaat??)
Zangu mapizza mabaga Location Masaki
(Usijichukulie star)
Pombe za bei cheap sinywagi(enheeeeee)
Sijali hata mkini judge
Na madanga wa kibongo haku sitaki
(Usijichukulie star)
Kwenda uturuk juzi tu unajiona cake
(Usijichukulie star)
Kujichonga chonga mwili shape lenyewe fake
(Usijichukulie star)

Usijichukulie Star
Oya Weeh usijichukulie Star
Usijichukulie Star
Oya Weeh usijichukulie Star

Sare sare sare sare
Kama una wako cheza nae kama huna nenda ukalale
Sare sare sare sare
Kama una wako cheza nae kama huna nenda ukalale (Twendeeeee)
Sare sare maua asiyejua kuchagua kabila lake(Twendee)
Sare sare maua asiyejua kuchagua kabila lake

Nms helloooo
Lg my gee
Love bite
B b b (bilwalwa)
Republikan, Republik
B G W A Y (MNDALI)